Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika

Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Mamlaka ya Afya ya Nigeria (Federal Ministry of health) imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19, waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi Lagos na siku za karibuni alirejea kutoka Milan (Italy), kwasasa mgonjwa huyo yupo katika uangalizi wa kimatibabu mjini Yaba ndani ya Lagos na serikali inafanya juhudi kuatambua watu wote ambao mgonjwa huyo alikutana nao.

For English Audience.
===

The Federal Ministry of Health announced on Thursday, February 27, that the first case of coronavirus (COVID-19) has been confirmed in Nigeria. According to the Minister of Health, the case was detected in an Italian citizen working in Lagos who had recently returned from a trip to Milan (Italy). The individual is in stable condition and is being treated in isolation at a hospital in Yaba (Lagos state). Health officials are working to identify anyone the patient has come into contact with since entering Nigeria.

Source: Gardaworld Security.
===

The case in Nigeria is an Italian man who arrived in Nigeria three days ago.

The Health Ministry said on Twitter that the case was in the state of Lagos, home to the southwestern commercial capital of the same name. Lagos is the biggest city in Africa's most populous country, with a population of about 20 million.

The health minister Osagie Ehanire, in a statement, said the case was an Italian citizen who works in Nigeria and returned from Milan, Italy to Lagos Feb. 25.

"The patient is clinically stable, with no serious symptoms," said the minister, adding that he was being treated at a hospital in the Lagos district of Yaba.

"We have already started working to identify all the contacts of the patient, since he entered Nigeria," said Ehanire.

The minister said authorities have been strengthening measures to ensure an outbreak in Nigeria is controlled and contained quickly.
 
Hapa ni kuomba Mungu tu
Screenshot_2020-02-28-08-38-05-137_org.mozilla.firefox.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wanaruhusu watu kutika sehemu zenye huu ugonjwa kuingia katika nchi ambazo hazina huu ugonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya walikataa kuwarudisha raia wao waliopo Wuhan juzi ndege yao imetoka China na raia mia na hamsini kutoka China wote wamewekwa kwenye karantini

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Kenya walikataa kuwarudisha raia wao waliopo Wuhan juzi ndege yao imetoka China na raia mia na hamsini kutoka China wote wamewekwa kwenye karantini

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Raia wa Kenya wamewekwa kwenye karantini?

Wakati raia wa China wameambiwa wajiweke wenyewe katika karantini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wenu uchwara wa afya si alisema watu weusi wana kinga dhidi ya corona?

Vipi tena imekuwaje mbona mnatetemeka tetemeka?

Sisi tuko immune kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano, hatuna la kuhofu!
 
Mwafrika ni ukuta mnene mpira wa korona unadunda na kurudi ulikotoka kwa kasi zaidi ya uliyokuja nayo. Tujipigie makofi tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani una akili kuliko waliohuisha corona virus kwenye maabara?

Waki twist formula kidogo tu kwenye kumtengeneza virus tutashuhudia mtakavyoweweseka!

Waziri wenu wa afya na watanganyika wote mtapoteana! Hata huyo mkombozi wenu wa wanyonge atawakimbia!
 
Wizara ya Afya ya Nigeria imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 nchini humo.

Waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi jijini Lagos na siku za karibuni alirejea kutoka Milan (Italia) na kwa sasa mgonjwa huyo yuko katika uangalizi wa kimatibabu.

Pia wizara hiyo inafanya juhudi kuwatambua watu wote ambao mgonjwa huyo alikutana nao nchini humo.
 
Mkuu kuzuia ni ngumu mno,vinginevyo uchumi wa dunia nzima utasimama,si umeona huku kwetu kuna watalii wanakuja kutoka China!ugonjwa upo na maisha lazima yasonge...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo bora watalii waje tu kuliko kuzuia watu kwa ajili ya kujiunga na maambukizi? unazani ugonjwa huo ukiingia hao watalii utaaona? Nchi zao zitawazuia kuja huku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom