Nigeria: Mwanamke ajifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa bila mtoto

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Woman Gives Birth To Nonuplets After 25 years Of Waiting.jpg

Mwanamke wa Nigeria Obinuju Anthonia Ibeanu, amejifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa.

Ripoti zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zilifichua kuwa mwanamke huyo alikuwa ameolewa kwa zaidi ya miongo miwili lakini hakubahatika kupata mtoto katika kipindi chote hicho.

Kwa bahati nzuri, alijaliwa watoto 9 wa kufidia miaka yote ambayo hakuwa na mtoto wa kumwita wake.

Picha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinamuonyesha Bi Ibeanu akiwa ameketi pembeni ya kitanda ambacho kilikuwa kimebeba watoto wake tisa.

The Evangelist
 
View attachment 2794142

Hii inaitwa jiwe moja kwa ndege 9
 
It doesn't get better than this! What a blessing👏👏
 
Back
Top Bottom