Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

Nigeria: Mwanamuziki Ice Prince akamatwa kwa kumteka na kumpiga afisa wa polisi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa

Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza polisi huyo ndani ya gari lake, kisha kumshambulia na kutishia kumtupa mtoni

Hadi sasa hamna maoni yoyote kutoka kwa mwanamuziki huyo au timu yake kuhusiana na tukio hilo

......................................

A popular Nigerian singer has been arrested for allegedly assaulting and abducting a police officer who had detained him.

Ice Prince, whose real name is Henry Zamani, was arrested at 03:00 on Friday for driving without car licence plates, said Lagos Police Command spokesman Benjamin Hundeyin.

“He, thereafter, abducted the police officer in his car, assaulted him, and threatened to throw him in the river. He has been arrested and would be arraigned today," Mr Hundeyin said.

There has been no comment from the musician or his team.

Source: BBC
 
Mwanamuziki Henry Zamani maarufu kama Ice Prince anashikiliwa kwa tuhuma za kumpiga na kumteka nyara askari wa barabarani aliyekuwa amemkamata kwa kuendesha gari iliyokuwa haijasajiliwa

Msemaji wa Polisi jijini Lagos, Benjamin Hundeyin amesema baada ya Msanii huyo kusimamishwa, alimwingiza polisi huyo ndani ya gari lake, kisha kumshambulia na kutishia kumtupa mtoni

Hadi sasa hamna maoni yoyote kutoka kwa mwanamuziki huyo au timu yake kuhusiana na tukio hilo
Mimi ningeshauri huyo mwanamuziki aajiriwe kama polisi na huyo polisi achukuliwe hatua kwa kushindwa kumdhibiti mtuhumiwa
 
Huyo Traffic Officer alifata nini kwenye Gari ya Mtoto wa Mfalme?
 
Back
Top Bottom