Nigeria ni nchi iliyogawanyika hamna uzalendo wa Igbo wanashabikia South Africa AFCON

Nigeria ni nchi iliyogawanyika hamna uzalendo wa Igbo wanashabikia South Africa AFCON

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Nigeria is a divided nation. Yani hawa wa Igbo wanashabikia Bafanabafana dhidi ya timu yao ya taifa super Eagle.

Na wameshangilia kwa jazba south Africa waliposawazisha.

Mechi sasa hivi imeenda mda wa ziada baada ya kumalizika 1-1.

Kabila la Igbo wenyewe wanajiita Biafra hawapendi kujiita wanigeria.
 
Na wao pia wanabaguana kwa kipato na ukoo.
wa-igbo koo zenye pesa zinawaona koo za waigbo masikini ni takataka.
 
Igbo na yuruba hao ndio kina wizkidayo.
 
Back
Top Bottom