Nigeria: Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Sheikh Abduljabar Nasir Kabara.jpg
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa anakanusha mashtaka hayo.

Kabara (52) anashikiliwa na mamlaka tangu Julai 2021 alipotuhumiwa. Kano ni miongoni mwa majimbo Kaskazini mwa Nigeria ambapo Sharia inatekelezwa pamoja na Sheria za Nchi hiyo.

Mwanazuoni huyo anatoka madhehebu ya Qadiriyya na ana idadi kubwa ya wafuasi hasa Jimbo la Kano, ana haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

===== ========

Nigerian sheikh sentenced to death for blasphemy

A Sharia court in the northern Nigerian state of Kano has sentenced a prominent Islamic cleric to death by hanging, after finding him guilty of blasphemy against the Prophet Muhammad as well as incitement in some of his preaching, although he denies the charges.

Sheikh Abduljabar Nasir Kabara has been detained by the authorities since July last year after being accused of spreading lies against the Prophet - charges which he denied.

The trial has been closely followed by Nigerians. Kano is among a dozen states in northern Nigeria where Sharia is practised alongside the country’s secular law.

The 52-year-old scholar is from the Qadiriyya sect. He has a sizeable number of followers mainly in Kano state.

His father was the leader of the sect in West Africa until his death in 1996.

Sheikh Abduljabar has the right to appeal against the judgement.

Death sentences in Nigeria are rarely carried out. Instead, convicted people are usually kept in prisons indefinitely.

Source: BBC
 
Mahakama ipi? ya kiislamu? huko hapati kitu. Labda kama mahakama ya kiraia...then huko atapona! Uislamu huu siyo Mungu, hapana! acha Mungu ajipiganie. Unampigania mwenye uwezo wooooooooote on the globe (mnavyodai mnaoamini uwepo wake
 
Mahakama ipi? ya kiislamu? huko hapati kitu. Labda kama mahakama ya kiraia...then huko atapona! Uislamu huu siyo Mungu, hapana! acha Mungu ajipiganie. Unampigania mwenye uwezo wooooooooote on the globe (mnavyodai mnaoamini uwepo wake)
Akili mbovu hiyo, unamtia kasoro Mungu !?

Mana Kwa akili hiyo basi hakukuwa hata na haja ya Yeye (Mungu) kuleta mitume na manabii wa Kumtangaza, Si angejitangaza tu mwenyewe !
Mateso yote waliyopata manabii na mitume ktk kumtangaza na kumtetea Mungu yalikuwa ya nini ?

Kama haitoshi, Kusingekuwa na haja ya kuleta vitabu vitakatifu ! Injili imekuja ya kazi gani ? Na kwanini walitakiwa watu waihubiri ? Quran nayo ni ya kazi gani ?

Ukizingatia vizuri mfumo wa kilimwengu ulivyo utaona wazi kuwa anachohitaji Mungu ni utayari wa watu ktk kumtangaza, kumsifu, na kumtetea ili Kiwe kipimo cha hukumu kati ya aliyemtaka na siyemtaka; baina ya aliyempenda na siyempenda.

Na dhana hii ya Kumtetea/kumpigania Mungu ndio jambo jepesi kabisa lenye kujulisha mapenzi yako kwake.

Leo mzazi wako akifedheheshwa mbele zako utakuwa na hali gani ? Bila shaka utatamani ufanye lolote liwezekanalo kuonesha hukubaliani na kudhalilishwa baba yako, na hata ukishindwa kwa lolote lkn japo kuchukia utachukia. Na hapo ndo utabainika upendo wako.
Basi kwa Mungu ndo hivyo hivyo na zaidi ya.

Na tukisema dhana ya kumtetea Mungu duniani haina mantiki, basi hakuna kabisa mantiki ya kuwepo ulimwengu na viumbe.

##
 
Tafasili ya kijinga kabisa hii!

Mungu aliyekuumba, aweza kukuuwa pia ukimdhihaki, Kwa mini binadamu ampiganie Mungu mwenye uweza wote?
 
Mahakama ipi? ya kiislamu? huko hapati kitu. Labda kama mahakama ya kiraia...then huko atapona! Uislamu huu siyo Mungu, hapana! acha Mungu ajipiganie. Unampigania mwenye uwezo wooooooooote on the globe (mnavyodai mnaoamini uwepo wake)
Dini ni utumwa wa kisasa…Imani ndio msingi wa maisha.
 
miungu inapiganiwa 😂 sasa kama muhamed amekashifiwa kwanini miungu yake isimuue kimyakimya inataka watu ndio waisaidie?
 
Akili mbovu hiyo, unamtia kasoro Mungu !?

Mana Kwa akili hiyo basi hakukuwa hata na haja ya Yeye (Mungu) kuleta mitume na manabii wa Kumtangaza, Si angejitangaza tu mwenyewe !
Mateso yote waliyopata manabii na mitume ktk kumtangaza na kumtetea Mungu yalikuwa ya nini ?

Kama haitoshi, Kusingekuwa na haja ya kuleta vitabu vitakatifu ! Injili imekuja ya kazi gani ? Na kwanini walitakiwa watu waihubiri ? Quran nayo ni ya kazi gani ?

Ukizingatia vizuri mfumo wa kilimwengu ulivyo utaona wazi kuwa anachohitaji Mungu ni utayari wa watu ktk kumtangaza, kumsifu, na kumtetea ili Kiwe kipimo cha hukumu kati ya aliyemtaka na siyemtaka; baina ya aliyempenda na siyempenda.

Na dhana hii ya Kumtetea/kumpigania Mungu ndio jambo jepesi kabisa lenye kujulisha mapenzi yako kwake.

Leo mzazi wako akifedheheshwa mbele zako utakuwa na hali gani ? Bila shaka utatamani ufanye lolote liwezekanalo kuonesha hukubaliani na kudhalilishwa baba yako, na hata ukishindwa kwa lolote lkn japo kuchukia utachukia. Na hapo ndo utabainika upendo wako.
Basi kwa Mungu ndo hivyo hivyo na zaidi ya.

Na tukisema dhana ya kumtetea Mungu duniani haina mantiki, basi hakuna kabisa mantiki ya kuwepo ulimwengu na viumbe.

##
mungu gani huyo ambaye haijetetei mwenyewe? Kudhalilishwa kupo, tumedharaulika sana hata kukataliwa. Acha wachinjane wenyewe. Dini zingine laana sana
Haya ndiyo yalitokea Iran na mwisho wake wanaanza kumsingizia Marekani. Nchi zenye waislamu wengi lazima kuwepo na vurugu na mauaji
 
Waafrika hatuna akili, badala ya kumhukumu kwa kuwakashifu mababu wa kiafrika anahukumiwa kumkashifu bwana Muhammad mzaliwa wa uarabuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom