Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong.

Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni 1.1), mhusika wa mzigo huo alitoroka kusikojulikana.

Sheria ya Nigeria inazuia kuuza viungo vya Punda nje ya Nchi, wakati ambapo viungo vya mnyama huyo vimetajwa kuwa muhimu China kutokana na kudaiwa kutumika kutengeneza dawa za asili.


---------------

Nigeria's customs service has intercepted 7,000 donkey penises at an airport in the commercial hub, Lagos, that were headed to Hong Kong, according to an official.

The animal parts were packed in 16 sacks found in the animal export section, said Sambo Dangaladima, the customs controller at Murtala Muhammed airport.

He said the smell from the sacks aroused suspicion of the authorities.

The consignment is estimated to be worth 200 million Naira ($478,000; £416,000)

A suspect linked to the package is said to have escaped.

Donkey parts are sought after in China where they are used to make traditional medicine.

Nigerian law forbids export of donkey parts.

Source: BBC
 
Dah
 

Attachments

  • 20220512_103837.jpg
    20220512_103837.jpg
    42.6 KB · Views: 4
Weka Picha ya hivyo Viungo Mkuu
 
Bilioni 1 ukigawa kwa elfu 7 unapata kama laki 1 na elfu 42, sijajua kama inafikia thamani ya punda mmoja wa Tz. Ngoja nifanye utafiti ikibidi niwekeze upande huo.
 
Back
Top Bottom