Nigeria VS Argentina

Nigeria VS Argentina

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Nigeria wanawapeleka puta Argentina ni halftime sasa hivi na bado magoli ni bila kwa bila. Kama Wanigeria wakitulia wanaweza kuchukua medali ya dhahabu.
 
Nigeria washapigwa bao dkk ya 68 sasa hivi
 
Back
Top Bottom