Nigeria: Wabaini bomba lililotumika kuiba mafuta kwa miaka 9

Nigeria: Wabaini bomba lililotumika kuiba mafuta kwa miaka 9

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Maafisa wamegundua njia hiyo haramu iliyounganishwa kutoka baharini ikiwa na urefu wa kilometa 4 katika moja ya kituo ambacho kinasambaza mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku.

Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Serikali NNPC LTD, Mele Kyari ametoa ripoti suala hilo kwa kamati ya Bunge ya Nigeria.

Amesema wizi wa mafuta sehemu mbalimbali umekuwa ukifanyika kwa miaka 22 iliyopita lakini huu wa miaka ya hivi karibuni unatajwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kutokea.


++++++++

Nigerian oil export terminal had theft line into sea for 9 years

Officials in Nigeria discovered an illegal connection line from one of its major oil export terminals into the sea that had been operating undetected for nine years, the head of state oil company NNPC LTD said.

The 4-kilometre (2.5-mile) connection from the Forcados export terminal, which typically exports around 250,000 barrels per day (bpd) of oil, into the sea was found during a clamp-down on theft in the past six weeks, NNPC Chief Executive Mele Kyari told a parliamentary committee late on Tuesday.

“Oil theft in the country has been going on for over 22 years but the dimension and rate it assumed in recent times is unprecedented,” Kyari said in an audio recording of the briefing reviewed by Reuters.

Thieves often tap land-based pipelines to siphon oil undetected while they continue to operate, but an illegal line in the ocean is highly unusual and suggests a more sophisticated theft operation.

Forcados operator SPDC, a local subsidiary of Shell SHEL.L, did not immediately provide a comment.

Nigeria, typically Africa’s largest oil exporter, is losing potential revenue from some 600,000 bpd of oil, Kyari said, as some is stolen and as oil companies idle certain fields rather than feed pipelines tapped by thieves.

Crude oil exports fell below 1 million bpd in August for the first time since at least 1990 as a result, starving Nigeria of crucial cash.

Loadings at the terminal have been stopped since a leak was found from a sub-sea hose at the terminal on July 17. Shell said this week that it expectedloadings to resume in the second half of October.

In August, NNPC awarded contracts to companies including those owned by former militants to crack down on oil theft.

Source: Reuters
 
Uchaguzi mkuu Nigeria unakaribia ni mapema mwakani. Kwa sasa serikali ya Buhari inajifanya inachapa kazi ipate kutetea chama chake ambacho kimechokwa na raia na wana mwamko mkali kukikataa.

Miezi hii ya mwisho kumekuwa na harakati nyingi sana hapo Nigeria. Kwa sasa operation ya kutokomeza Boko Haram inaenda kwa kasi wakati walikuwa wanawaatamia miaka yote. Haya mambo yote uchaguzi ukiisha yatarudi kama kawaida na wizi mwingine utahidhinishwa
 
Afrika Bora wazungu warudi kutawala bado ,watu Ni masikini mno. Yaani mtu akipata cheo anawaza kuiba Hana la ziada
 
Hivi wale waliokuwa wanachimba kuelekea bomba kubwa la mafuta kwenye jiji la makala waliishia wapi?.
Yaani hata dola yenyewe iko kimya, inawezekana kabisa kuna watu wazito wamepiga stop kesi kwenda kortini.

Vv
 
Back
Top Bottom