BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
NIGERIA: Vyama na Umoja wa Wafanyakazi vimetangaza kusitisha Mgomo ulioanza Juni 3 baada ya Serikali kufanya mabadiliko kidogo ya Kima cha Chini cha Mishahara kutoka Tsh. 52,200 hadi Tsh. 104,400
Licha ya usitishwaji wa Mgomo huo ulioripotiwa kuathiri kwa muda huduma muhimu, bado kiwango kilichoongezwa hakijafikia matakwa ya Wafanyakazi ambao walitaka Kima cha Chini kiwe kati ya Tsh. 800,00 hadi 900,000
Baadhi ya shughuli zilizopata athari kutokana na Mgomo huo ni pamoja kuzimwa kwa Gridi ya Taifa ya Umeme, Kufungwa kwa Shule, Kusimama kwa Huduma za Hopsitali, Benki na Kusitishwa kwa Safari za Ndege
Ni mara ya 4 kwa Migomo kutokea nchini humo tangu Rais Bola Tinubu alipochaguliwa kuongoza Taifa hilo linaloripotiwa kukabiliwa na mdororo wa Uchumi huku thamani ya Fedha yake ikiendelea kushuka dhidi ya Dola
=============
Nigeria's main labour unions suspended an indefinite strike for a week on Tuesday in order to continue talks with the government over a new minimum wage after reforms in the West African nation caused inflation to spike, worsening a cost of living crisis.
Nigeria's two biggest union federations, the Nigerian Labour Congress (NLC) and the Trade Union Congress (TUC), shut down the national grid and disrupted flights across the country on Monday as they began an indefinite strike over the government's failure to agree a new minimum wage.
Unions and the government met late on Monday for talks where the government said it was open to a higher monthly minimum wage than the amount of 60,000 naira ($41.38) it had proposed. But a new amount is yet to be announced.
The unions had demanded a 16-fold rise in the minimum wage to 494,000 naira a month, from 30,000 naira.
"After an extraordinary ... meeting today, it was decided that the ongoing strike be suspended for the next one week and we will continue negotiation with the government ... on minimum wage," TUC president, Festus Osifo, said.
"Failure on the part of government to conclude with labour within one week shall prompt the organised labour to resume the strike without further notice," said Tayo Aboyeji, an NLC secretary.
Labour leaders met with their affiliates on Tuesday and Osifo told reporters that the government had been given a one-week 'grace' period to come up with an agreeable minimum wage.
President Bola Tinubu has been under pressure to reverse his decision to scrap a popular petrol subsidy that had kept fuel prices low but was costly on government finances.
Earlier, the head of the Nigeria Union of Petroleum and Natural Gas Workers (NUPENG) said it was holding off from recalling workers from offshore rigs pending the outcome of talks between the government and labour on Tuesday.
NUPENG represents workers across the oil and gas sectors, including upstream oil platform workers, fuel tanker drivers, and pump attendants and its decision on the strike is closely watch by oil markets and could lead to a significant escalation of the unions' dispute with the government.
Nigeria, Africa's largest oil producer, relies on oil and gas for around 90% of foreign exchange earnings and about half for its budget.
REUTERS
Pia Soma:
Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865
NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
Nigeria: Tinubu atangaza Ongezeko la Mishahara huku wafanyakazi wakijiandaa kwa Mgomo usio na Kikomo
Rais Bola Tinubu, ametangaza ongezeko la Dola 32 za Marekani sawa na takriban Tsh. 80, 320 Kwa mshahara wa kima chini kwa muda wa Miezi 6 wakati ambao Wafanyakazi nchini humo wakijiandaa kuanza mgomo usio na kikomo. Ongezeko hilo linapelekea Mshahara wa kima cha chini wa kila Mwezi kuwa $70...
Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha
Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...