Nigeria yaipiga Marufuku filamu ya Barbie kwa madai ya kuchochea Mapenzi ya Jinsia Moja na Kudharau Ndoa

Nigeria yaipiga Marufuku filamu ya Barbie kwa madai ya kuchochea Mapenzi ya Jinsia Moja na Kudharau Ndoa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1692096799986.png
Uamuzi unakuja baada ya Nchi za Lebanon, Kuwait na Vietnam kuifungia Filamu hiyo huku sababu zikitajwa kuwa inachochea Mapenzi ya Jinsia Moja, Inaeneza Tamaduni za Magharibi na Inaenda Kinyume na Imani na Tamaduni za Kiislamu.

Sababu nyingine ni Kupuuza Uwepo wa Baba katika Malezi, Kudharau na Kudhihaki Majukumu ya Mama, Kuondoa Umuhimu wa Ndoa na Kujenga Familia pamoja na Kuonesha kuwa Familia ni Kikwazo kwa Maendeleo ya Mtu hasa kwa Wanawake.

Licha hayo, Filamu hiyo imeongoza kwa kwa kuingiza Tsh. Trilioni 2.5 katika mauzo ya Tiketi za 'Box Office' duniani kote tangu ilipoanza kuoneshwa Julai 21, 2023.

===============

Algeria has banned the movie “Barbie,” which had been showing at some cinemas in the country for several weeks, an official source and the local 24H Algerie news site said on Monday.

The official source said the film “promotes homosexuality and other Western deviances” and that it “does not comply with Algeria’s religious and cultural beliefs.”

Starring Margot Robbie and Ryan Gosling as Barbie and Ken, the movie sends Mattel Inc’s doll on an adventure into the real world. The film has topped $1 billion in box office ticket sales worldwide since its July 21 debut.

Kuwait has also banned the film.

Algeria’s Culture Ministry supervises the contents of films projected in cinemas and can stop them being shown.

JPOST/BBC
 
Kuna mijitu inatetea utaskia uhuru wa kuangalia [emoji2955][emoji2955]pumbav
Yaan uhuru ukizid ni ujinga na upumbavu ndio maana kukawa na sheria vizazi vijavyo magasho yatakua mengi kwa ujinga wa wazazi wao
 
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
 
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni

Ala anamlisha wanawake wapigwe[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom