Nigeria yamshikilia Blogger mwenzangu...

...The SSS told Mr Elendu's lawyer that Mr Elendu had not been "arrested", but "invited" for talks at their headquarters.

...dah, mialiko mingine hiyo mnh...!
 

lakini wewe si ulikuwa nyumbani na hakuna aliyekukamata tena ukaenda mpaka tarime mzeee
 
Binafsi bado nina IMANI kubwa tu na JF. Muhimu nadhani ni kuzingatia RULES za humu jamvini, kuwa mkweli kwa kadri ya uwezo wako.

Siasa ni mchanganyiko wa ukweli, speculations na the rest, ukweli na uongo wa siasa unaweza kuthibitishwa na wale tu wenye ukweli kamili,

Hapa the question ni kama tunaruhusiwa kuweka ukweli wote wa siasa za taifa wazi hapo ndipo kila mtu kubeba msalaba wake, na ndipo point yako inatakiwa kuwa na mzizi,

Huyu mtu wa Nigeria kama amekamatwa, basi ni kwa sababu ametoa ukweli wa siasa ya taifa ambao hakutakiwa kua nao, au kuutoa to the public, it has nothing to do na uongo au sheria za gazeti au website alipoutolea, serikali haiwezi kunishika kwa sababu nimekusingizia wewe uongo, kama ninaisingizia serikali uongo itakuanusha tu unless ule uongo unavunja sheria za jamhuri,

Otherwise siku zote ni the question ya kutoa habari nyeti za serikali ambazo huruhusiwi kuwa nazo, lakini sio ulipozitolea! Kama ni kuamainiana sidhani kama ni tatizo, binafsi ninamuamini kila mtu hapa JF lakini ninafunga milango ya gari langu always na sijawahi kukurupuka na anything na ninaweza kuweka wazi anytime ikibidi, maana nikiwa na ukweli kuogopa mtu sio jadi yangu hata awe nani. Heshima isichangaywe na anything, it just heshima!

Ahsante Mkuu!
 
Mzee ES mbona unataka kuleta makubwa tena humu ndani?mi si nilidhani haya mambo yalishasawazishwa na Max?sasa mbona yanaibukia huku tena?

Hakuna tatizo mkuu wangu, ila tunapeana habari za karibu na ukweli tu hakuna noma na Max, wala mtu yoyote,

Nilipowaomba wakuu waiache ile topic kuna niliyoyaona ambayo yanafanana na maswali aliyouliza mkulu MMJ, mwanzoni mwa hii topic!

Relax mkuu everything is under control!
 
He will be released soon, we're in touch with Nigerian Bloggers
 
[ Unaji over-value tu, wewe ni joka la kibisa mpayukaji wa mtandaoni.....
 
ukija nyumbani hakikisha wakili wako anakuwa uwanjani na mpiga picha atakayenyaka vivuli vya watakao/taka "kukualika" kwa mazungumzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…