Tena tukizubaa wanaweza kutupiga nyingi, watu wanalinda heshima, sio soka la bongo hili la kuwachiana nafasi,.hawawezi touchia wala tusibweteke.
hivi kinacheza kiwango au dhamira, acheni kuwatia watu pressure, waembieni hao wanaosimamia mpira wajenge kiwango na sio kuomba dua wakati miguuni mpira haukai, acheni kufikiria mambo hayo ya kuwashinda MISRI na Naigeria kwa kuomba dua.Wtanzania tudhamirie kufa na kupona kuifunga Misri bila kujali tutakwenda au la. Nafasi yetu kwenda mashindanoni ni ndogo mno lakni ni jambo zuri sana kujizoeza kuzifunga hizi timu kubwa. Ni mtaji mzuri huko mbeleni.
Nigeria then Misri; Its an uphill task!!Kufuatia Nigeria kufungwa goli moja bila leo sasa wametolewa rasmi maana hata wakishinda mechi ya mwisho wataishia kupata pointi tano tu wakati MISRI wana pointi saba.
Kimahesabu ni Tanzania peke yake inaeweza inaweza kuito MISRI kama tutaifunga NIGERIA kwao na kuja kuwashughulikia waarabu mechi ya marudiano ambapo tunaweza fikisha pointi saba kama za MISRI. Issue itakuja kwenye uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
HIVYO NI SAWA NA KUSEMA TIKETI YA STARS KWENDA AFCON ipo MIKONONI MWAO