nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
we unasema enzi nyerere watu walikuwa wanatongoza wasichana kwa kusema wametoka Nairobi?????
hadi leo lakini kuna baadhi ya vicheche ukisema we mzambia wanababaika sijui why?
Nimechungulia hiyo thread nikacheka kukutana na picha ya mcheza filamu Jim, Kaazi kweli kweli. Mbona Kanumba wetu (and others) ni handsome tu na anamzidi mbali Jim au kwa sababu Jim foreigner. Lol.
mmh Mnyonge mnyongeni.. haki yake mpeni!! Jim yuko HOT bana..Nimechungulia hiyo thread nikacheka kukutana na picha ya mcheza filamu Jim, Kaazi kweli kweli. Mbona Kanumba wetu (and others) ni handsome tu na anamzidi mbali Jim au kwa sababu Jim foreigner. Lol.
mmh Mnyonge mnyongeni.. haki yake mpeni!! Jim yuko HOT bana..
Uwa nafuatilia filamu za Naigeria hivyo nawajua most of them. Jim is said to be HIV positive, niliona anahojiwa na TV station moja ya Naigeria anakanusha kwa nguvu zote. Kwa ufupi these guys are bad news.
Ikija kwa wanaume kusema huyu ni handsome or not inaweza leta ubishi uso na mwisho. To me Jim ni wakawaida sana. Nikikutana nae barabarani wala sigeuki wala ku notice kama kuna mtu nimepishana nae.
wewe ugonjwa wako upo ghana....lol
mmh Mnyonge mnyongeni.. haki yake mpeni!! Jim yuko HOT bana..
lol.....wala macho yangu hayana semometa wee umejuaje wa moto?
Waghana nawapenda kama actors lakini most of them hasa wanaume si wazuri, ni wafupi sana na wana vichwa vibaya.
Vipi John Dumelo unamwonaje?..Waghana nawapenda kama actors lakini most of them hasa wanaume si wazuri, ni wafupi sana na wana vichwa vibaya.
na john pia?lol
Vipi John Dumelo unamwonaje?..
Vipi John Dumelo unamwonaje?..
John namkubali sana. Kweli analipa; na sura yake si ya Kighana imekaa kibongo zaidi. Lol.
Afu nadhani uzuri si muonekano tu, ni pamoja na kuongea na acting. Jim anaongea vibaya nadhani inachangia nimwone mbaya. John knows how to talk.