Ndiye huyo huyo.. tena sasa hivi hapa namwangalia kwenye sinema ya At the Altarkama ndo huyo aliyeigiza filam inaitwa chelsea na nadia buhari na majid
basi hapo NyumbaKubwa humuelezi kitu,amekufa ameoza lol
Ndiye huyo huyo.. tena sasa hivi hapa namwangalia kwenye sinema ya At the Altar
yaani hatujiwezi wengi..si unamuona anamuita mbongo?
hajiwezi hapo...kumbe na wewe pia hujiwezi hapo?lol
yaani hatujiwezi wengi..
Nyumba kubwa hebu check na hii kama bado hujaiona SCENT OF A WOMAN sequel yake POWER OF A KISS
basi kina Kanumba watajibeba mwaka huu lol
Ndiye huyo huyo.. tena sasa hivi hapa namwangalia kwenye sinema ya At the Altar
wadada wakinigeria wanachonga kuliko wakizaramo tena kwa sauti.....
Private Storm nishaiona, hizo zingine bado.. nimeona trailer tu.. ngoja nizitafuteKuna moja hiyo inaitwa Chelsea. Itafute kama hujaiona ni nzuri. Hata The Game ni nzuri pia. Au A Private storm ambayo yumo John Ramsy na Omotola. Hiyo ya Chelsea nilikuwa naangalia daily, ila wameiblock kwa sasa you tube. Ila nadhani nilishaiona kwenye other channels za wanaija wenyewe.
yaani hatujiwezi wengi..
Nyumba kubwa hebu check na hii kama bado hujaiona SCENT OF A WOMAN sequel yake POWER OF A KISS
ah kina kanumba walie tu..basi kina Kanumba watajibeba mwaka huu lol
Napenda John Dumelo's acting
John Dumelo... The Ladies Man!! - YouTube
Hapo yuko na warembo ninao wakubali hasa Omotola
we unaangalizia website gani? mie hutumia video.onlinenigeria.com, au bunibuni.com.. manake youtube zingine hazimoMayasa nimeshaziona zote hizo, yani sijuhi kama kuna movie ya John sijaiona labda isiwe online. Lol.
tuacheni uutani huyu Omotola huyu
udenda unanitoka kila siku nimeshindwa kumzoea...
sio kweli kabisa...kuna Mnigeria unaweza kutana nae anaongea taratibu mpaka wakati mwingine weye unajiona una kelele!mimi wa naija wanachoniudhi ni kelele..
wote wanawake kwa wanaume wana kelele mno.....
utasema wanagombana..kumbe wanaongea tu kikawaida....
we unaangalizia website gani? mie hutumia video.onlinenigeria.com, au bunibuni.com.. manake youtube zingine hazimo
Na hapo ana watoto sijuhi wanne vile. She is real hot. Wenyewe wanamuita Omosexy.
Na sidhani kama ana makashfa kwani ni mke wa mtu na nasikia hapendi kuweka maisha ya familia yake public.
hahaa eti aliumbwa week end lol.. alianza kuzaa under age (natania), alianza kuzaa mdogo sana nadhani akiwa 18, hapo alipo hata 35 hajafika..mimi mwenyewe niliposikia ana watoto wanne nilishangaa sana
yaani...kweli ni Omosexy.....Mungu alimuumba siku ya weekend....lol
naona wengine ni siku za kazi....lol
hahaa eti aliumbwa week end lol.. alianza kuzaa under age (natania), alianza kuzaa mdogo sana nadhani akiwa 18, hapo alipo hata 35 hajafika..