!! Nigerian music na Wasanii wao unaowakubali !!

!! Nigerian music na Wasanii wao unaowakubali !!

Emma Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
929
Reaction score
147
Habari wana JF, Poleni macelebrity!

Dhumuni la uzi huu leo nataka tuzungumzie muziki wa kinaigeria kama mziki ambao ni moja
ya muzik kwenye mafanikio makubwa barani Afrika na Duniani kiujumla.

Je wenzetu ni nini amabao wao wanakifanya sisi hatukioni?.
Je unakubali kazi zao? Maana mimi nimetokea kumkubali sana Iyanya na mzee mzima Dbanji (two masters)
Kukere kukere kukereee i got moneei. ohh nanana iye iyeee:music:
DBanj+banj.jpg iyanya123456.jpg
 

Attachments

  • Iyanya.jpg
    Iyanya.jpg
    9.3 KB · Views: 151
Back
Top Bottom