Dhumuni la uzi huu leo nataka tuzungumzie muziki wa kinaigeria kama mziki ambao ni moja
ya muzik kwenye mafanikio makubwa barani Afrika na Duniani kiujumla.
Je wenzetu ni nini amabao wao wanakifanya sisi hatukioni?.
Je unakubali kazi zao? Maana mimi nimetokea kumkubali sana Iyanya na mzee mzima Dbanji (two masters)
Kukere kukere kukereee i got moneei. ohh nanana iye iyeee:music: