Nigerians got mad after Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ banned their traditional way of entering the country β›”βŽ

Hawa jamaa ndio waliofanya Waafrica tunaonekana wahalifu huko duniani!! Ila nashukuru Watanzania bado kuna nchi wanatuelewa sana, yaani sana ila si hawa mandezi!!

Pia wameshusha thamani ya passport yetu wakishirikiana na watumishi wa uhamiaji ambao si waaminifu waliowawezesha hawa jamaa kupata passports zetu. Watz wengi waliokuwa wanakamatwa na madawa wengi walikuwa ni Wanaijeria wenye passport za TZ.

Nchi nyingi na sisi zikatupiga ban, ningekuwa Magu ningewafukuza kabisa na ni marufuku kukanyaga TZ.
 
Dah....kuna siku nilikutana na mbongo mweusi mwenye passport ya kibongo.....aliponiambia ametumika sana Dar...niliondoka bila ya kumuaga...[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Hao jamaa wamejazana sana.. halafu wana kelele sana ukikutana nao sehemu za burudani, Wanaishia kuwa wasumbufu.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] Hapa sasa tunaweza ongea kwa sauti moja! These Ogas think East Africa ni choo kuingia na kutoka vile wanajiskia. Wamejazana Nairobi na Mombasa sasa ni saa yakuwarudisha kwao.

People are fighting world wars to get in to the milk [emoji1636] and honey [emoji518] paradise [emoji907] but we must sensor who is deserving to step in only.

Wengine mjiandae you are next [emoji15]
 
Its really foolish to celebrate this.
Mmesahau reciprocity? Saiv automatically hakuna mtanzania kuingia Nigeria bila visa pia.
 
Kenyans should apply for visa also.

Btw wewe
.
Who is this monkey removed visa for Nigerians?

Really?
He must be ignorant of Nigerians
 
Hongereni kwa kupata kiki ya kusemwa na baadhi ya Wanaijeria, mlikua hamfahamiki.
 
Hii news inahusiana Na Kenya aje...
Kama news si about Kenya tafta place ya kupeleka.
 

People are fighting world wars to get in to the milk πŸ₯› and honey 🍯 paradise 🏝 but we must sensor who is deserving to step in only.

Wengine mjiandae you are next 😳

The level of intelligence in Tanzania is shocking.
You're pretending to be South Africa, yet you are just another LDC.

We can understand South Africa trying to keep out Africans looking for greener pastures, but what does Tanzania has to offer?
 
Niliona kule nairaland mnaija mmoja akisema madem wa bongo huwashobokea vidume vya Nigeria. Msiwafungie mipaka acha waingie shamba la bibi na ikiwezekana mje m waokote hawa ogas wapo Kenya .They are trouble makers drug dealers who rent a single room na wanakaa 15 kwa room moja kama wametandaza malazi yao sakafuni.inafaa mwapokee humo maana mna chakula cha kutosha. They are not welcome in Kenya
 
The level of intelligence in Tanzania is shocking.
You're pretending to be South Africa, yet you are just another LDC.

We can understand South Africa trying to keep out Africans looking for greener pastures, but what does Tanzania has to offer?
You know nothing about tz, you better keep dwelling in kibera..
 
The average Kibera dweller would be considered rich in Tanzania.[/QUOTin
Because they are referred as middle income group in kenya,
Wonder,how come middle income peoples live in those iron-rusted sheet shacks!!
 
Hongereni kwa kupata kiki ya kusemwa na baadhi ya Wanaijeria, mlikua hamfahamiki.
Wanamjua Diamond ila hawajui [emoji184] anatoka nchi gani we kweli hamnazo,yani nimjue Prezo halafu nisijue nchi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…