Nigerians got mad after Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ banned their traditional way of entering the country β›”βŽ

Its really foolish to celebrate this.
Mmesahau reciprocity? Saiv automatically hakuna mtanzania kuingia Nigeria bila visa pia.

Since zamani, mtanzania alihitaji kuomba visa kupitia ubalozi wa Nigeria nchini. Hapajawahi kuwa na Visa on arrival kwa MTZ yeyote wa kawaida kwenda Nigeria...labda deplomats hao sijui. But I do support this move...they closed their border for so long...why should we give them (Nigerians) easy access to our country? I have been there so naongea nilivohangaikia visa yao.
 
Reactions: Oii
Kuna ule msemo wa 'Nikutukane ndio ujulikane', sasa hapo mlitafuta msemwe na Wanaijeria maana itawapatia kiki.
Sawa huo msemo upo lakini hata kama ndio imekua hivyo what next? Common Nigerians wana impact ipi Tanzania? They are like you, empty sets for nothing about us.
 
Hongereni kwa kupata kiki ya kusemwa na baadhi ya Wanaijeria, mlikua hamfahamiki.
Wewe unazeeka Vibaya, nimekuwa nikiliona hili, unajua kadiri unavyokuwa mzee akili hugeuka na kuwa kama ya mtoto.
Try to Check on your dietary intakes. Punguza alcoholic fluids.
 
Sawa huo msemo upo lakini hata kama ndio imekua hivyo what next? Common Nigerians wana impact ipi Tanzania? They are like you, empty sets for nothing about us.

Ndio maana nikasema kwenu ni kiki maana kusemwa semwa na Wanaijeria inawawezesha nyie kuanza kuonekana onekana, kuna wenzako hujaribu kuibua mada nao kule Nairaland lakini wanapuuzwa kama vyura wanaojaribu kumzuia ng'ombe kunywa maji.
 
Yaani tukisemwasemwa na hao wa naijeria inatusaidia nini?
Unajua ni aibu kwa mtu wa umri wako kufikiria hivi?
 
Ndio maana nikasema kwenu ni kiki maana kusemwa semwa na Wanaijeria inawawezesha nyie kuanza kuonekana onekana, kuna wenzako hujaribu kuibua mada nao kule Nairaland lakini wanapuuzwa kama vyura wanaojaribu kumzuia ng'ombe kunywa maji.
Sasa Germany πŸ‡©πŸ‡ͺ huko mpaka districts zina be named after us and we are cool 😎 itakua huko naungulukulu?
 
The average Kibera dweller would be considered rich in Tanzania.

My friend have you ever lived in kibera?
Don’t consider such non sense issues with Tz. Apply for visa time has changed........Alamsik
 
Hongereni kwa kupata kiki ya kusemwa na baadhi ya Wanaijeria, mlikua hamfahamiki.
kwani kwa wakenya kufahamika na wanajeria ni sifa kuu?.

wee jamaa bhana....
 
Wewe unazeeka Vibaya, nimekuwa nikiliona hili, unajua kadiri unavyokuwa mzee akili hugeuka na kuwa kama ya mtoto.
Try to Check on your dietary intakes. Punguza alcoholic fluids.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani kwa wakenya kufahamika na wanajeria ni sifa kuu?.

wee jamaa bhana....

Hehehehe.... Hii sindano naona imewadunga kweli, nakupa mfano, kuna wasanii humchokonoa Diamond Platinum ili awatukane ndio wafahamike na kuandikwa kweye magazeti, sasa kwa jinsi nyie mpo mpo tu, hamsikiki kwa chochote, inawabidi kutafuta ugomvi na Wanaijeria ambao kidogo wanaskika kwa makelele yao duniani, ili wawataje kwenye forums zao.

Sisi tumefahamika duniani hivyo Wanaijeria hatuwahitaji kwa kiki, kwanza wao tulishagombana nao kwenye Twitter had dunia ikasimama.
 
Mzee unavyoenda kunywa chang'aa hakikisha umeshiba vya kutosha sio unapiga debe la chang'aa kwa tumbo upo empty
 
Mzee unavyoenda kunywa chang'aa hakikisha umeshiba vya kutosha sio unapiga debe la chang'aa kwa tumbo upo empty

Kha! Chang'aa/gongo sio mchezo unavofikiria, nimeinywa sana kwenye ujana wangu na sio kileo kutumiwa bila kula. Hata nisingeweza kulogin humu...
 
Basi they deserve it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…