Habari yako chief ntaku pm namba ya jamaa mmoja anaitwa richy hzo ndy shuguli zake Ali design pub iliyo ndani ya bar yetu jamaa Yuko vzuri sana jamaa his the bestHi wanabodi hamjambo,
Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu..
Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja pia unaona nn huwa kinakuvutia zaidi nk, na pia kama kuna chochote unachoweza kunishauri tukafanikikiwa..
Pls karibuni kwa mawazo
Nshaku pm namba ya jamaa we mcheki tu,ukichonga naye atakupa full infoHi wanabodi hamjambo,
Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu..
Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja pia unaona nn huwa kinakuvutia zaidi nk, na pia kama kuna chochote unachoweza kunishauri tukafanikikiwa..
Pls karibuni kwa mawazo
hajaombaa mtu wa kudisign bt namnaa ya kurun by yhe way mi nakushaur kwanza waudumu wawe wanaojielewaa,dj mzuri,vinywaji na vyakulaa bilaa kusahau kareoke iwepo mengine utajuaa baada ya kufunguaa alhamis ladyz freee uweke piaaHabari yako chief ntaku pm namba ya jamaa mmoja anaitwa richy hzo ndy shuguli zake Ali design pub iliyo ndani ya bar yetu jamaa Yuko vzuri sana jamaa his the best
Ova
Hadi ushauri atampaa piahajaombaa
hajaombaa mtu wa kudisign bt namnaa ya kurun by yhe way mi nakushaur kwanza waudumu wawe wanaojielewaa,dj mzuri,vinywaji na vyakulaa bilaa kusahau kareoke iwepo mengine utajuaa baada ya kufunguaa alhamis ladyz freee uweke piaa