Hapana simkubali CB.Umeisikiliza?
Sikilizeni na Moonlight, ipo kwenye album yake hii alotoa last month, ile ngoma basi tu, siichokiBreezy ni shida kuna hii "Angel numbers/ten toes" ni fire balaa
Ushuzi tu.. hamna nyimbo hapo, Breezy ana bangs nyingi nzuri tu.. hata response yake huko YT ni 5m views only.. nimesikitika kuna watu ndio nyimbo yao bora kwa mwaka huu 🤣 aiseeKabla sijadanilod ni track ya kuchezeka au ni ya taratibu, katika nyimbo nazielewa ni zile za taratibu zenye hisia kama tommoro, to be will, nk