Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Wanaume ni wakarimu saaaana ndiyo maana hupenda kuonyesha upendo kwa wanawake ili tu auonje ukarimu na utamu wake! Si kwamba ni wahuni kwa kutoka kwenye ndoa zao ila au relationship zao ila ni jinsi walivyoumbwa kumuonjesha ukarimu kila mwanamke anayemtamani kumpa ukarimu huo kwa hiyo wadada mtuvumilie sana ni ukarimu tu hasa wa kimapenzi tuliojaaliwa