Nihitaji majibu

Mimi nawaogopa sana watu wanaojua hesabu..
Nilijaribu maisha yangu yoooote sikuwahi kuweza..
Na nadhani NECTA mimi nlipata sifuri kabisa..
 
Kujua hesabu sio kitisho. Wapo wanajua hesabu hawajui lugha. Kuna watu wanajua lugha nyingi kiufasaha kama kama Elimu nyingine. Ukijua huu wenzio wanajua ule ingawa hesabu ni jipu
 
duuh!! "simulitinous equestion" hizi hesabu nlikuwa sizipendi kama nn..!!!!
 
Kujua hesabu sio kitisho. Wapo wanajua hesabu hawajui lugha. Kuna watu wanajua lugha nyingi kiufasaha kama kama Elimu nyingine. Ukijua huu wenzio wanajua ule ingawa hesabu ni jipu

Wewe ongea tu,
Lakini hesabu zitabaki kuwa hesabu mzee.
They make your head very very flexible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…