NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

Kwa miaka mingi, Unit moja ya umeme Zanzibar ilikuwa Tsh 50 tu.

Baada ya Magufuli kutishia kuwakatia umeme kutokana na deni kuwa kubwa, ndipo ikapandiahwa mpk kufikia Tsh 120 kwa unit. Upo hapo??

Wakati huku bara uniti moja ni Tsh 380+
 
Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara.

Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
Zanzibar wanatumia umeme bure,mwaka juzi wamefutiwa deni la b70 walizokuwa wanadaiwa na Tanesco kwani hawajawahi kulipa tangu wapelekewe umeme toka Tanganyika. Hawa watu ni mzigo kwetu Watanganyika
 
Unaeleza kuhusu urahisi au bure?Vipi komredi unataka uwagonge na rungu?
 
Kwa akili za wana ccm sitashangaa wakimpitisha huyo Mzanzibari kuwa tena rais wa Tanganyika.
 
Nadhani cha maana zaidi ni kujiuliza kwanini huku umeme sio Bei rahisi pia sababu ukisema hivyo na kule wakaongeza bado hatumsaidii mwananchi yoyote (na katika hizi divide and rule) walamba asali wataendelea kufanya yao... Na kufahamu zaidi dhima ya hawa watumishi wetu jiulize kwanini hata vitu vya kawaida kabisa na vina mbadala wanachukua njia ambayo inazidi kutuumiza. Case in Point

Zanzibar wanatumia umeme bure,mwaka juzi wamefutiwa deni la b70 walizokuwa wanadaiwa na Tanesco kwani hawajawahi kulipa tangu wapelekewe umeme toka Tanganyika. Hawa watu ni mzigo kwetu Watanganyika
Kweli kabisa
 
Kwa miaka mingi, Unit moja ya umeme Zanzibar ilikuwa Tsh 50 tu.

Baada ya Magufuli kutishia kuwakatia umeme kutokana na deni kuwa kubwa, ndipo ikapandiahwa mpk kufikia Tsh 120 kwa unit. Upo hapo??

Wakati huku bara uniti moja ni Tsh 380+
Kumbe huku Tanganyika tunaishi kama kumbe ! Looh ni maumivu sasa viongozi wetu iwapo wao niwetu kweli, waone mateso yetu hayo.
 
Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara.

Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
Umeme unatoka bara ni 27,000 mjini na mjini, gusa huku kwetu ni dharau tupu
 
Serikali ipunguze Bei ya umeme- iwe sh. 100 kwa unit ili tupikie umeme- badala ya kukazania gesi ambayo ni biashara ya viongozi
.! ! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…