Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kama kuna kitu cha kukwambia tukiendele kuazimisha sikukukuu ya wamama dunian ni kama una mke anakunywa pombe mbaya kwa kweli imekula kwako......najua unaweza ongea mengi lakini nawaasa kabisa hili hasa mnaaokimbilia ndoa kama mwanamke anakunywa pombe mbaya kwa kweli kimbia...na kama mwanaume nae mlevi chapombe mbaya kimbia itakula kwako nakwambia
Nilikuwa nasoma mada moja leo ikisema wanaume ni rahisi kuwa waaminifu wanapokunywa kuliko mwamnamke mlevi..wanwake wanashindwa wengi kijilinda pale pombe inapoanza kuelekea chini na hivyio kujikuta wakifanya miujiza
si mbaya kusema hivi ingawa alijaribu kutoa mawazo yake nikaona kabla ya kuleta mawazo yangu niwakaribishe ma bibi na mabwana wa JF.....mtoe yaliyomo mioyoni mwenu na kama ni mmoja wa wahusika wanaoteseka na hili utuambie unawezaje kumsaidia anaetarajia kuoa chapombe na jinsi gani ya kukaa nae asifanye vituko ama kuacha pombe kabisaaaa......
Kwenu Wana Jf