X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Jul 10, 2011 #1 Niibe Niko radhi kuibiwa, madhali mwizi ni wewe Kwenye khatari kutiwa, Ni wewe pweke ni wewe Niibe nipate tuwa, Nakuruhusu mwenyewe Nimekubali mwenyewe, niibe sinidhulumu Kinipunguwe kiwewe, nitachukua jukumu
Niibe Niko radhi kuibiwa, madhali mwizi ni wewe Kwenye khatari kutiwa, Ni wewe pweke ni wewe Niibe nipate tuwa, Nakuruhusu mwenyewe Nimekubali mwenyewe, niibe sinidhulumu Kinipunguwe kiwewe, nitachukua jukumu
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 Jul 11, 2011 #2 Nina wasi na unachotaka kiibwe!
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Jul 11, 2011 Thread starter #3 Gurta said: Nina wasi na unachotaka kiibwe! Click to expand... Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa.
Gurta said: Nina wasi na unachotaka kiibwe! Click to expand... Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa.
matwi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 276 Reaction score 65 Jul 11, 2011 #4 X-PASTER said: Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa. Click to expand... ipokazi...!
X-PASTER said: Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa. Click to expand... ipokazi...!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jul 11, 2011 #5 bora umesema mapema, nilikuwa naandaa silaha za jadi hapa nikuvamie! ungejuta kuibiwa leo,lol! X-PASTER said: Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa. Click to expand...
bora umesema mapema, nilikuwa naandaa silaha za jadi hapa nikuvamie! ungejuta kuibiwa leo,lol! X-PASTER said: Mkuu ilo shairi kuna mtu mke aliniandikia, nami nikalipenda nikaliweka hapa. Click to expand...
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,605 Reaction score 1,843 Jul 11, 2011 Thread starter #6 King'asti said: bora umesema mapema, nilikuwa naandaa silaha za jadi hapa nikuvamie! ungejuta kuibiwa leo,lol! Click to expand... Ah ah ah ah King'astiiiii....! Sio mimi sister, dah! Hiyo kitu haiwezekani kabisa dah!
King'asti said: bora umesema mapema, nilikuwa naandaa silaha za jadi hapa nikuvamie! ungejuta kuibiwa leo,lol! Click to expand... Ah ah ah ah King'astiiiii....! Sio mimi sister, dah! Hiyo kitu haiwezekani kabisa dah!