Niifanyie nini?

CDO

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.
 
Kanunue shamba kule kimanzichana...!
 
Una ujuzi gani kwani??? umetumia mbinu gani kupata iyo laki saba?? itumie tena iyo mbinu ni nzuri...
 
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.

wewe shughuli zako ni zip?na unafani gani?...ntarudi
 
Nilimalza 4m 4 mwaka 2009,nikafeli mtihan,nikachukuliwa na kakang mwanajesh..nimekaa nae kwa muda wote huo...sasa ndo amenipa laki 5,mbili za kujichanga mwenyewe..and cna ujuz wowote.
 
go back to my post!
 
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.

Duh🙂 mi napita tu.
 
oooh basi kama huna ujuzi nenda veta kachukue kozi yoyote hiyo pesa lipia ada ukae hostel ya chuo ukitoka na ujuzi wako ni zaidi ya laki saba
 
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.

Tafuta frem eneo lililochangamka na lenye maduka mengi na lililo barabarani ufungue ofisi ya kuuza vocha kwa jumla inalipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…