Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo

Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo

Joined
May 11, 2019
Posts
14
Reaction score
21
Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari.

Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi.
1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu
2. Petroleum Geoscience and exploration Udsm
3. Educational technology Udom
4. Diploma in primary education, science and math (english language).

Ninaombeni mdaada wenu jaman
 
Sikuhizi diploma pia wanapewa mkopo na HESLB, jaribu kuomba kama bado dirisha lipo wazi
 
Kuna jamaa alikua anataka kuoa then akaja kuomba mchango kwaajili ya mahari, wakati huo alipo ulizwa back ground yake akagoma kusema.
Binafsi nilimshangaa sana na wana walimnawa.
All the best
 
Hekma🙌
Mkuu...
Dunia ilipo fikia, things are not easy kama vijana wengi wanavyo fikiri.
Kuna mambo ukisha tambua back ground yako, basi unapaswa kujiandaa mapema hata kwa kufanya vibaria ili unapofika wakati walau unakua umejikusanya.
Najua wengi watanishangaa na kuniona nina roho mbaya, lakini huo ndio ukweli.
 
Hiyo Diploma ya Laboratory sikushauri usome hasa kama hutaki kumaliza viatu.

Zingene watashauri wanaofahamu
 
Nikionaga Kijana anashindwa kusoma kisa Uchumi naumia sana.
Dogo umejaribu kuomba mkopo wa HESLB? apo kasome iyo kozi ya Afya ndio kdgo afadhali
 
Nikionaga Kijana anashindwa kusoma kisa Uchumi naumia sana.
Dogo umejaribu kuomba mkopo wa HESLB? apo kasome iyo kozi ya Afya ndio kdgo afadhali
Mkopo niliomba lakini vigezo vyao wanataka aliyemaliza form four au six iwe ni 2020-2024.

Mm form four ninemaliza 2016, na six nikamaliza 2019
 
Back
Top Bottom