Joseph mwakabelele
Member
- May 11, 2019
- 14
- 21
Hekma🙌Kuna jamaa alikua anataka kuoa then akaja kuomba mchango kwaajili ya mahari, wakati huo alipo ulizwa back ground yake akagoma kusema.
Binafsi nilimshangaa sana na wana walimnawa.
All the best
Mkuu...Hekma🙌
Umri ukivuka 30 hatopata na awe amemaliza form 4 ndani ya miaka 5.Sikuhizi diploma pia wanapewa mkopo na HESLB, jaribu kuomba kama bado dirisha lipo wazi
Ina nn mkuuHiyo Diploma ya Laboratory sikushauri usome hasa kama hutaki kumaliza viatu.
Zingene watashauri wanaofahamu
Niliomba lakini nimemaliza form four 2016Umri ukivuka 30 hatopata na awe amemaliza form 4 ndani ya miaka 5.
Mimi nimechaguliwa huku MRI CHUO CHA MADINI DODOMAKama unatka kujifunza maisha njoo DSM. Mengine yatafuata huku huku cha msingi usikate tamaa.
Sawa blood nimekuelewa nashukuru kwa ushauri1>>>>>>>>3>>2>>4
Unamaanisha nini?Kuna jamaa alikua anataka kuoa then akaja kuomba mchango kwaajili ya mahari, wakati huo alipo ulizwa back ground yake akagoma kusema.
Binafsi nilimshangaa sana na wana walimnawa.
All the best
Mkopo niliomba lakini vigezo vyao wanataka aliyemaliza form four au six iwe ni 2020-2024.Nikionaga Kijana anashindwa kusoma kisa Uchumi naumia sana.
Dogo umejaribu kuomba mkopo wa HESLB? apo kasome iyo kozi ya Afya ndio kdgo afadhali