Niingie chimbo gani Leo nipate Hela?

Niingie chimbo gani Leo nipate Hela?

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
467
Reaction score
1,181
Wakuu naombeni ndoano nivue samak mwenyewe

Nipeni wazo niingie chimbo gani nipate Hela walau hata mkono uende kinywani

Kodi inaisha, biashara ndo imekufa hivo. Nawaza na kuwazua wapi ntapata ela ya kulihudumia tumbo langu!
Nipo dar es salaam
 
vijana hamsaidiki mmekuwa wa hovyo.Kuna kapumbafu flan kanaiitwa Ino Aiwin,nilitaka kufanya nacho kazi kakaleta mambo meusi kakatoroka.Nakavutia pumzi nikafuate Kigamboni nikatie adabu.
 
Kama upo dar nenda manzese au tandika wanaposhusha mahindi mashineni ongea na washikaji wakupe nafasi nawe uingie mzigoni hautaweza kukosa chochote, mahindi na mchele kila siku vinaingia sokoni.

Pole pia mkuu kwa hali unayopitia.
Munaandikagakirahisi, kuna wakati nilikuwa nimepigika jamaa kaandika nenda Carwash waambie..... kwenda carwash zotenajibiwa hovyohovyo

Jamaa unamuomba anakwambia mueone yule manager unaenda kwa jamaa jamaa anajibu unaona naonekana kama manager.

Jamaa unamwambia nataka kazi wanakushangaa kwani nani kamwambia kuna kazi hapa.

Nikiona sasahivi nina uhakika nashukuru Mungu sana
 
Nicheki now, Kesho uende baharini ukavue samaki unaweza pata Zaidi ya Kodi.
Bahari haitabiliki
 
Mkuu kariakoo haijawahi kumuangusha mtu. Mtaji wako ni Uaminifu tu
uaminifu bila kujuana na matajiri bro? mi nko k. koo napambana ila naona bila kujuana na matajiri wenye mali kaz inakua ngumu
 
Wakuu naombeni ndoano nivue samak mwenyewe

Nipeni wazo niingie chimbo gani nipate Hela walau hata mkono uende kinywani

Kodi inaisha, biashara ndo imekufa hivo. Nawaza na kuwazua wapi ntapata ela ya kulihudumia tumbo langu!
Nipo dar es salaam
Jiunge na Mishangazi. Ushuhuda utauleta mwenyw
 
Kama upo dar nenda manzese au tandika wanaposhusha mahindi mashineni ongea na washikaji wakupe nafasi nawe uingie mzigoni hautaweza kukosa chochote, mahindi na mchele kila siku vinaingia sokoni.

Pole pia mkuu kwa hali unayopitia.
Au mabibo sokoni
 
Back
Top Bottom