Kama unaongea kiswahili ingia kwa mgangaWakuu nipo hospitali nimetoka reception kuregister nikaambiwa nenda kwa DOCTOR, sasa niingie wapi kati ya hizi sehemu mbili? Nitashukuru kwa msaada wenu.View attachment 1072100
Sent using Jamii Forums mobile app
We umeambiwa nenda kwa Doctor nasi kwa mganga hivyo ingia hapo kushoto, lakini kwa mganga ni kamati ya ufundi hadi uwe na kuku mkononi take care utanyonywa damu.Wakuu nipo hospitali nimetoka reception kuregister nikaambiwa nenda kwa DOCTOR, sasa niingie wapi kati ya hizi sehemu mbili? Nitashukuru kwa msaada wenu.View attachment 1072100
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutambua Inahitaji umakini, utulivu, IQ 130+, pia uwe umeshibaHiyo MGANGA hapo ni editing.