Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Wengine hatujui kupiga hata kura ila utapata wa kukupigia wengi humu Jf
Hafadhari umenifurahisha upendelei huu ujinga so called BBA. halafu mtoto wa kiume kutuonesha boxer aliyovaa sijui ni dalili gani? hata Ben Kinyaiya hajawahi kufanya ujinga huu.
Money Stunna, out of curiosity mkuu hunaga snaps nyingine? maan,hizi ni repost.
Mkuu tatizo unaonekana kama ni foreigner- muzungu fulani kupita washiriki wote waliowahi toka bongo!! Bare in mind me sio racist,vinginevyo Sura yako inauzika,hata mwili pia japo hujageuka hata nyuma(Kiding))))
Shiriki binafsi sapoti ntakusapoti..
Mi ningependa mkaingia wote na Kiaz Kitam itakua noma sana umo Mjengon.
kiazi kitamu ndo nani huyo!