Una wife au mtu wa karibu unayekaa nae ambae hana kazi, kama unamuamini unaweza kumfungulia sehemu ?, Kama sio mimi kuna mdau ninamjua anafanya kazi ni mlinzi huwa akitoka jioni saa moja anaendesha boda boda yake mpaka saa nne ndio anakwenda kulala.
Me sina mke wala ndug wa karbu aliyko jobless then wote ni madogo bado wanasoma
Tafuta kiwanja pori nje ya mji ununueMe sina mke wala ndug wa karbu aliyko jobless then wote ni madogo bado wanasoma
hello wana jf
mim nimeajariwa kwnye Kampuni fulan hapa dar ratiba zangu za kazi no holiday or weekend i mean everday nipo kwa job from sa7asubh to saa1 jion namshukur mung mpaka sasa namiliki 2ml.cash
sasa nahtaj mnipe mawazo wap naweza kuenvest hii pesa yang ambapo ntapata faida bila mim kushrik physical kwenye mchakato mzima.
pesa yangu ipo m-pesa tu imetulia kama maj mtungin
please kama unaweza kunsaidia kimawazo thanx you alot'

mkuu usihofu,Kuna small business ambazo unaweza fanya pasipo uwepo wako,Kuna barbershop,usafiri km bodaboda,bajaj etc,Kuna mpesa na tigopesa,fanya utafiti zaidi.
Bajaj?barbershop kwa 2m?Haitoshi bana.Nunua kiwanja au hisa.
Sidhani kama kuna biashara ambayo hutahusika nayo ksbisa!