Unaposema PHP nI ya kizamani UNAMAANISHA NINI?Mimi ni mwanafunzi diploma in computer science. Nimeangalia google, kwa nchi nyingine php ni kama ya kizamani kidogo na wengi hawa recommend. Lakini kuna mtu kaniambia tanzania website nyingi bado zinatumia.
Je, hili ni kweli?, Kwasababu naogopa nisije soma kitu ambacho kwenye mazingira yangu hakitumiki.
Asante sana mkuu, ngoja nichague moja wapo kwa sasa kazi iendelee. 💪Unaposema PHP nI ya kizamani UNAMAANISHA NINI?
Anyway ukisoma PHP bado unachapa hela na ukisoma node js bado unachapa hela inategemea na kazi zako zikoje.
Kama kazi ya PHP itaendana na ya node js unaona nini?
Kifupi chagua gari moja itakayokufikisha sehemu uipendayo nimesoma php na nimefanya project kadhaa lakini pia sikusita kuisoma node na niliona nyepesi kwakuwa niliwekeza kwenye javascript na Ajax bila kusahau Jquery.
Mtiririko wa node.js na MongoDB ni mtamu sana ila ukiwa unaijua Mysql basi vichache ubadilika kwenye MongoDB haina mambo mengi kama Mysql.
Chagua yoyote ila main point uweze kumshawishi mteja au umfuate mteja.
Hii stori ya PHP kuwa ya kizamani huwa inatokea wapi? PHP sio ya kizamani hata. Labda kuwe na tafsiri mpya ya hili neno!PHP ina hela japo kuwa ni ya kizamani from a technical stand point.
Kuwa ya zamani haimaanishi kuwa haitumiki.
Over 80% of websites are built using PHP.
Ipo stable na framework zake kma Laravel ni stable pia na hutumika na ma company mengi sana.
Kusoma kitu kimoja haikuzuii kusoma kingine. Ukimaliza PHP na framework kma Laravel unweza soma Node.js pia
PHP ina hela japo kuwa ni ya kizamani from a technical stand point.
Kuwa ya zamani haimaanishi kuwa haitumiki.
Over 80% of websites are built using PHP.
Ipo stable na framework zake kma Laravel ni stable pia na hutumika na ma company mengi sana.
Kusoma kitu kimoja haikuzuii kusoma kingine. Ukimaliza PHP na framework kma Laravel unweza soma Node.js pia
Usisome kwa kufuata mtazamo wa watu ,jiulize unasoma coding ili ufanye nini?. Kwa upande wa php ni language inayotumiwa sana ,mfano sehemu kubwa ya jamiiforum imeandikwa kwa php , content management system nyingi zimeandikwa kwa PHP mfano joomla,wordpress Magento nk.
Kuna kitu kimoja php bado haijakiweka vizuri, ukitaka kuandika asynchronous app kwenye php hatakuwa rahisi, yaani php by nature ni synchronous japokuwa inawezekana kuandika asynchronous apps kwenye php kwa kutumia library kama react nk
Hapa Node ndio inaingia, Kwenye node kuandika asynchronous apps ni rahisi pia ndio nature ya JavaScript ambayo ndio imeunda .Ukitaka kuunda streaming website ,au app ambayo unaingiza na kutoa data nyingi itahitaji node.
Ushauri wangu soma zote mbili
Ndio maana nikasema from a technical stand point it is outdated. Sio kwamba haifai kabisa. Inafaa vizuri tu.Hii stori ya PHP kuwa ya kizamani huwa inatokea wapi? PHP sio ya kizamani hata. Labda kuwe na tafsiri mpya ya hili neno!
Kwenye Async upo sawa. Sioni PHP ikiwa na anything async anytime soon. Sioni kwa nini uhitaji async.Ndio maana nikasema from a technical stand point it is outdated. Sio kwamba haifai kabisa. Inafaa vizuri tu.
Asynchronous programming, security & debugging methods za PHP ni outdated ukilinganisha na modern alternatives.
Lakini bado ina mengi sana ambayo ni mazuri. Kwa mfano:
1. Scalability yake ni nzuri sana
2. Ina support database nyingi
3. Ni very fast
4. Good documentation
Kuwa na outdated syntax na design haimanishi kuwa kitu ni kabaya na hakina umuhimu. Java leo hii haina mashiko katika Android lakini bado ina matumizi mengi tu na inatumika sehemu nyingi tu sababu codebase bado zinatakiwa kuwa maintained. Java is outdated compared to Kotlin but it's not obsolete. Same kwa PHP hvyo hvyo.
You nailed it brother!Kwenye Async upo sawa. Sioni PHP ikiwa na anything async anytime soon. Sioni kwa nini uhitaji async.
Ukihitaji Async ni very likely kwamba hiyo sio use case ya PHP. Unahitàji tool tofauti kama Elixir/Erlang et al.
Kwenye security hapo hapana. Labda utoa mfano halisia. Kwa miaka 10+ ya ku deal na PHP sijawahi kukutana na hii kitu.
Debugging ipo outdated kivipi? Unaweza tumia simple var dumping au advanced debugging na debuggers kama XDebug.
Labda na hapo uelezee kwa mifano ni kivipi zipo outdated? I always depend on logs kuliko debugging kwa sababu logs zinanipa picha kubwa kuliko kupoteza muda stepping thru code.
So far argument yenye mashiko ni async ambayo haiifanyi language iwe outdated.