Nijulishen fursa za kijasiriamali dodoma

Nijulishen fursa za kijasiriamali dodoma

teku

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Habari Wanajamvi.
Nategemea kuhamia dodoma mjini kama wiki mbili zijazo.
Napenda nizifahamu fursa za kijasiriamali huko mana mimi ni mtumishi wa serikali ambae napenda pia niwe na kipato cha ziada zaidi ya mshahara.
Kwa kuanzia nina mtaji wa 2m.
Nafahamu JF ni jukwaa la ukweli naamini sitakosa chochote cha kuanzia.
Mungu awabariki.
 
Mmmmh nunua photocopy machine kwa then weka contena UDOM kwa ajili ya huduma ya photocopy kwa wanachuo
 
Ahsante kwa ushauri.
kwa haraka gharama za photocopy mashine si zitakula mtaji wote kama nyahitaji ambayo ipo standard?
Kodi za kupangisha sehemu ya kutolea hy copy zipoje?
 
Mkuu, Clouds FM walipata kuziorodhesha kwa kiwango chao. Hebu wafatilie kwa mkoa huo fursa zilikuwaje.
 
Back
Top Bottom