Habari Wanajamvi.
Nategemea kuhamia dodoma mjini kama wiki mbili zijazo.
Napenda nizifahamu fursa za kijasiriamali huko mana mimi ni mtumishi wa serikali ambae napenda pia niwe na kipato cha ziada zaidi ya mshahara.
Kwa kuanzia nina mtaji wa 2m.
Nafahamu JF ni jukwaa la ukweli naamini sitakosa chochote cha kuanzia.
Mungu awabariki.