kahata Member Joined Jan 17, 2021 Posts 88 Reaction score 53 Jul 9, 2021 #1 Msaada naomba kujua chimbo la waleti za ngozi, pochi mikoba au mabegi ya kina mama ya mtumba kwa Dar.
Msaada naomba kujua chimbo la waleti za ngozi, pochi mikoba au mabegi ya kina mama ya mtumba kwa Dar.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 9, 2021 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
sherberry JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 306 Reaction score 364 Jul 9, 2021 #3 kahata said: Msaada naomba kujua chimbo la waleti za ngozi, pochi mikoba au mabegi ya kina mama ya mtumba kwa Dar. Click to expand... Nenda tandika sokoni ,kuna mnada kila siku asubuhi na mchana Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
kahata said: Msaada naomba kujua chimbo la waleti za ngozi, pochi mikoba au mabegi ya kina mama ya mtumba kwa Dar. Click to expand... Nenda tandika sokoni ,kuna mnada kila siku asubuhi na mchana Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app