Habari zenu Wakongwe.
Kuna ndugu yangu hana kabisa appetite ya chakula,hata kiwe kizuri vipi anakula kidogo sana.Dawa gani ya kuleta njaa?
Hapo solution si kuleta njaaa, huyu anatatizo la kukosa apetite. Njia ya kwanza ni kumsisitiza ale matunda esp machungwa. Huku mkitafuta suluhisho la hili tatizo hosp maana kuna vidongea vya kuongeza hamu ya kula.
Suluhisho la kudumu ni kujua tatizo lililomfanya hawe hivyo kama ni mawazo au ni dalili ya ugonjwa fulani. Fika hospitali

dawa pekee ya kuleta njaa tumboni mwako, labda kama hauna apetite, PUKUTISHA FESHA, kung'uta account bank. ukiwa huna kitu mfukoni aisee utakula hata mataputapu. tatizo ukiwa nazo njaa haiji inajua utanunua chochote utakacho.Nimezungumzia matunda lakin mkazi au content nyingi ijengwe na hayo.
dawa pekee ya kuleta njaa tumboni mwako, labda kama hauna apetite, PUKUTISHA FESHA, kung'uta account bank. ukiwa huna kitu mfukoni aisee utakula hata mataputapu. tatizo ukiwa nazo njaa haiji inajua utanunua chochote utakacho.
Mkuu samahani kidogo, hivi kweli mtu awe hajala chakula afu unamshauri ale machungwa?? Machungwa si yana asidi??
C.c. kavulata