Nijuze kuhusu bodybuilder Mwarabu figher

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,106
Reaction score
1,260
Kwema wakuu

Katika pitapita IG nimekutana na post ya bodyguard wa msanii Diamond akiendelea na majukumu yake mengine(kapata boss mpya)

Najua hapa Jf kuna wajuzi,nipeni ronja nini kimemsibu huyu bwana kuacha kazi.
 
No body knows, but kama unakumbuka vizuri kuna siku aliulizwa kuhusu instragram.
jibu lake likawa kwamba anapenda sana kufugua account ile ya Mange. Unganisha doti kwamba Mange haziivi na Makonda wala Mondi mwenyewe. Katika mazingira kama haya Mwarabu asingeweza kusalia katika kibarus chake.

(Nawaza tu lakini)
 
Mi nilijuaga ni utani, maana hata Harmonize alionekana akimtania Mwarabu kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app

Harmo hampendi yule dada hata kidogo hata ukimuangalia usoni tofauti na mahusiano mengine yaani yuko pale kimaslahi kama mdangaji flani hivi wa mjini angekuwa serious naye alivosikia amemcheat angempa kibuti lakini wala haonyeshi kujali hata kidogo
 
Harmo hampendi yule dada hata kidogo hata ukimuangalia usoni tofauti na mahusiano mengine yaani yuko pale kimaslahi kama mdangaji flani hivi wa mjini angekuwa serious naye alivosikia amemcheat angempa kibuti lakini wala haonyeshi kujali hata kidogo
Ila inabidi tujue nimaslahi yapi hayo anayoyapata kutoka kwahuyo mzungu au tujue mzungu anamishe gani hapa bongo zakumuingizia mkwanja kiasi hicho mpaka harmo anate kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
huyo fighter aliwahi kupumuliwa na wahuni
kule kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…