Nijuze kuhusu hili please!!!

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
Nimefungua duka la vipodozi ili ku generate capital, nahitaji kujua zaidi agents wakubwa wanaosambaza cosmetics mikoani. Moja kati ya agent niliosikia ni ARISE BEAUTY SUPPLY, sasa nahitaji kufahamu wapo dar sehemu gani? PLEASE MIND THAT UR INFORMATION SHOULD BE DIRECTIVE. ASANTE KWA KUNISAIDIA.
 
Nafikiri ungepeleka kwenye jukwaa la biashara ungepata michango zaidi. Humu ni mahusiano zaidi!
 
MMU= Mahusiano, Mapenzi na Urafiki! so hii ina fall wapi kati ya hizo kategori?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…