Lwakitwe
Senior Member
- Aug 14, 2013
- 101
- 15
habari za asubuhi wana jamvi nimatumaini yangu kwamba hapa ndo mwisho wa suluhisho la tatizo langu kuna maneno mpaka sasa hivi sijapata maana yake naomba kusaidiwa.
Kwa moyo mmoja nayawasilisha maneno haya hapa ORUSHENGO;AKATABULANE;EIBUBA;KIJUTA;ENDWANO.
Kwa ufupi mwenye kujua maana yake anisaidie na yule atakaye kuwa anajua mengine zaidi azidi kunijuza
"WAKORA WAITU"