Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba kujua na ikiwezekana kama kuna wadau/ dalali wa sokoni wani pm tufanye makubaliano. Nipo Njombe