Vijana wenzangu kuna habari nimeiskia kuwa mtu aliyeathirika kwa virusi vya UKIMWI na kuanza kutumia ARv's hana uwezo wa kumwambukiza mtu ambae hana VVU coz sehem kubwa ya mwili wa anaetumia ARVs inakua haina virusi vya HIV.
Je kuna ukweli wowote hapa?
Je kuna ukweli wowote hapa?