Probability at the lowest rate! BUT why utest sumu kwa kuilamba?
Haiwezikani ataweza kukuambukiza. Hizo Hizo dawa za ARV hazitibu Ukimwi zinakupa muda wa kuweza kuishi na itabidi utakuw aunatumia kila siku katika maisha yako na hizo dawa za ARV zitakuletea madhara ya magonjwa mengine . Soma chini Madhara ya kutumia Dawa za Kurefusha umri ARV.Vijana wenzangu kuna habari nimeiskia kuwa mtu aliyeathirika kwa virusi vya UKIMWI na kuanza kutumia ARv's hana uwezo wa kumwambukiza mtu ambae hana VVU coz sehem kubwa ya mwili wa anaetumia ARVs inakua haina virusi vya HIV.
Je kuna ukweli wowote hapa?