Nijuzeni kirefu cha 'TBT' na "DP" kwenye social networks

Nijuzeni kirefu cha 'TBT' na "DP" kwenye social networks

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Mara nyingi watu wanapost picha ikiwa na neno TBT,
Na wengine wanaambizana eti ooh Mbona hujaniweka kwenye DP yako!!
Tafadhali anayejua maana atupie coz Mimi siyaelewagi hayo maneno!!!
 
mara nyingi watu wanapost picha ikiwa na neno TBT,
na wengine wanaambizana eti ooh Mbona hujaniweka kwenye DP yako!!
Tafadhali anayejua maana atupie coz Mimi siyaelewagi hayo maneno!!!
maana ya TBT ni TaBaTa kwahiyo hizo picha zote huwaga zinapigwa tabata

TBT means location
 
yani umeweka news alert wattu tunafungua uzi mbio mbio alafu unakuja kutuuliza ujinga wa sosho midia???
 
DP ...Display picture
TBT...Throw Back Time(wengine huitumia kama throw back Thursday)
WTF..what the https://jamii.app/JFUserGuide( rare,who the https://jamii.app/JFUserGuide,when the https://jamii.app/JFUserGuide...)
 
Ukitaka kujua watu wamevurugwa....soma majibu yao. Kama hujui si ukae kimyaaaa???? kwa nini uandike uozo???
 
Back
Top Bottom