Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,480 Reaction score 4,775 Mar 12, 2018 #21 Matola said: Mkuu naona mnaikimbiza Simba kimyakimya bila kelekele. Click to expand... Hatuna kelele sisi..Kimyakimyaaa...Na bado wana game na Mtibwa Manungu..
Matola said: Mkuu naona mnaikimbiza Simba kimyakimya bila kelekele. Click to expand... Hatuna kelele sisi..Kimyakimyaaa...Na bado wana game na Mtibwa Manungu..
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Mar 12, 2018 #22 Balantanda said: Hatuna kelele sisi..Kimyakimyaaa...Na bado wana game na Mtibwa Manungu.. Click to expand... Kumbe kuna wazee wa kuongoza ligi na wazee wa ubingwa, sasa makwapa hayawaumi kila mwaka kunyanyuwa kombe?
Balantanda said: Hatuna kelele sisi..Kimyakimyaaa...Na bado wana game na Mtibwa Manungu.. Click to expand... Kumbe kuna wazee wa kuongoza ligi na wazee wa ubingwa, sasa makwapa hayawaumi kila mwaka kunyanyuwa kombe?