rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Unaijua avengers timu b ya simbaChama namjua, kinye namjua, Albert Rweymum sidhani Kama unamjua hiyo ilikuwa mwaka 84
Ooooh uzee tena na mafuriko miwani imesombwa na maji hapa kipo. Ila zamani kulikuwa na utemi hasa wa kijinga namkumbuka mchezaji mmoja mkorofi sana Rosta Ndugulu huyu hakuna na adabu ya kichezaji full ukorofi. Labda kutoka na mijibaba kucheza mpira kama akina Tobias Mkoma na wengine hawa walitisha sana sasa haka kaKaseke nako kachezajiMkuu ,nadhani hujamuelewa.
Alimaanisha kwamba , washambuliaji walikuwa hawalindwi na Waamuzi wakichezewa fujo na Walinzi kama kipindi hiki.
Nani alikuwa akiitwa 'Big man ' ni Athman Maulidi?Ooooh uzee tena na mafuriko miwani imesombwa na maji hapa kipo. Ila zamani kulikuwa na utemi hasa wa kijinga namkumbuka mchezaji mmoja mkorofi sana Rosta Ndugulu huyu hakuna na adabu ya kichezaji full ukorofi. Labda kutoka na mijibaba kucheza mpira kama akina Tobias Mkoma na wengine hawa walitisha sana sasa haka kaKaseke nako kachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Bango lao limeandikwa kumkoma nyani giladi red stars ya kina morris nyuchi david roster Ndunguruvipepsi kwa wingiNani alikuwa akiitwa 'Big man ' ni Athman Maulidi?
Roster Ndunguru ,vijana wa mtaa wa Kongo(Nyota Nyekundu) ,tawi la Simba.
Frank Kasanga, Mohamed Nyauba.