Nijuzeni kuhusu kubet, sielewi chochote japo napenda kucheza

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Nimekuwa nawafatilia sana ktk thread zenu kuhusu betting lakini naambua kiduchu nami natamani nijue vyote kuhusu kubet
1.mkeka ni nini?
2.points ni nini ktk timu?
3.unalipwa kupitia nini? benk au {kama ukishinda)
4.ili ushinde pesa nyingi inatakiwa ufanyaje
 
ingua web site kama m-bet, wanajisajili utajua humohumo ila hela utatumiwa mpesa,tigopesa...
sina idea sana maana sijawahi kubet
 
Nimekuwa nawafatilia sana ktk thread zenu kuhusu betting lakini naambua kiduchu nami natamani nijue vyote kuhusu kubet
1.mkeka ni nini?
2.points ni nini ktk timu?
3.unalipwa kupitia nini? benk au {kama ukishinda)
4.ili ushinde pesa nyingi inatakiwa ufanyaje

Sina uelewa sana na haya mambo ya betting,

1.Mkeka ni set ya kutabiri mechi zaidi ya moja,kwenye betting jinsi unavyobashiri mechi nyingi na uwezekano wa kubashiri mechi nyingi ina maana ukishinda utapata hela nyingi.Unaweza ukatabiri mechi 6 ,tano ukapatia lakini moja ikagoma hapo wanasema hiyo uliyokosea imechana mkeka

2.Kwenye bet huwa kuna timu mbili na zote zinapewa point kutokana na kiwango cha timu kwa wakati huo,timu kubwa hupewa point ndogo na timu kubwa hupewa point nyingi.
Mfano:Manchester City VS Sunderland, uwezekano wa ManCity kushinda ni mkubwa so Man City atapewa point chache na uwezekano wa Sunderland kushinda ni mdogo so Sunderland atapewa point nyingi.Ikiwa ulitabiri Sunderland akashinda na kweli akashinda utapata hela nyingi kuliko yule aliyetabiri Man City itashinda na kweli ikashinda

3.Watu wa betting wana mawakala wao ambapo ukishinda unaenda kuchukua hela yako

4.Kushinda hela nyingi unatakiwa upatie kubashiri matokeo ya mechi nyingi na dau lako la ku-bet liwe kubwa na timu ulizo ziwekea dau ziwe na point nyingi
Mfano:Ukibet mechi 10 na zote ukapatia na dau lako lilikuwa kubwa kama 50,000 hapo utashinda mamilioni
 
158
nimekuelewa mkuu nashukuru sana.vp kwa wale wanaobet online wanalipwa vp
 
Back
Top Bottom