K Kingsimba JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 382 Reaction score 119 Dec 5, 2013 #1 jamani me nimekwama!nijuzeni imekaaje hii ya kusafisha dollar negative! 1. jina ya dawa au matilio yanayo tumika kusafisha. 2. je hii biashara ipo kweli au magumashi 3. kama unafahamu ukweli tofauti tofati na utapeli nijuze. natanguliza shukrani.
jamani me nimekwama!nijuzeni imekaaje hii ya kusafisha dollar negative! 1. jina ya dawa au matilio yanayo tumika kusafisha. 2. je hii biashara ipo kweli au magumashi 3. kama unafahamu ukweli tofauti tofati na utapeli nijuze. natanguliza shukrani.