Nijuzeni kuhusu subaru legacy manual 2005

Nijuzeni kuhusu subaru legacy manual 2005

silent vin

Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
10
Reaction score
5
Habari wana jamii forum naulizia juu ya Subaru legacy 2005 manual kama zinakuaga na shdah yeyote au mwenye wazo juu ya Subaru legacy kuna Ndugu yangu anaomba ushauri kabla ya kuagiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukisema ni wewe kuna tatizo gani bana.Ni one of the best brand ya Subaru.Chukua tu haina shida.
 
hapo itabidi ujenge petrol station nyumbani kwako! kanabwia sana wese hako ila kapo poa sana na kanavumilia sana shida hutaenda sana garage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom