Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Apr 9, 2012 #1 Swali hilo
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Apr 9, 2012 #2 Maana ya shababi ni kijana (youth). Sasa kutegemeana na muktadha, huenda mara nyingi hutumika kumaanisha huyo mtu bado damu yake inachemka na ni mwenye nguvu.
Maana ya shababi ni kijana (youth). Sasa kutegemeana na muktadha, huenda mara nyingi hutumika kumaanisha huyo mtu bado damu yake inachemka na ni mwenye nguvu.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Apr 9, 2012 #3 Ama ni kushirikiana na al-shabab?
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 933 Apr 9, 2012 #4 Shababi ni mwanaume mwenye nguvu nyingi,ambaye akimkamata demu basi sii chini ya bao5 na kila bao sii chini ya dk20.
Shababi ni mwanaume mwenye nguvu nyingi,ambaye akimkamata demu basi sii chini ya bao5 na kila bao sii chini ya dk20.
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,776 Apr 9, 2012 #5 Nakubaliana na alivyosema Nyani Ngabu hapo Juu Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI .. Shababi* nm [a-/wa-] youth. (Kar) .
Nakubaliana na alivyosema Nyani Ngabu hapo Juu Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI .. Shababi* nm [a-/wa-] youth. (Kar) .